official grenade COURTESY: Instagram

Msanii wa uganda, Official Grenade ambaye amefuatwa na tuhuma za ushago kwa muda sasa ameacha watu kimya wasi baada ya kuonekana na aliyekuwa mpenzi wake Diamond Zari Hassan.

Wawili hao wanaonekana kuwa karibu sana na hibi majuzi, Zari alisafiri kutoka South Africa mpaka uganda na inaaminika ya kwamba Grenade alikua naye kwenye mmoja ya majumba yake ya kifahari yaliyomo Uganda.

Mjadala ulizuka kwenye instagram yake Zari baada ya shabiki mmoja kuwasihi waweke mahusiano yao yawe kisiri jambo ambalo lilimfanya Zari kumjibu ya kuwa wao si wapenzi. Tulipofuata kwenye kurasa zao za insta tuliweza kupata comments za kimahaba kati yao. Je, tutarajie video ama ndoa?

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.